Posts

Showing posts with the label HABARI

ATHARI ZA KUTOWASHIRIKISHA WANAWAKE MICHEZO.

ASIA MWALIM  WANASOKA  wengi wanawake kutoka Zanzibar wanatamani kufikia angalau viwango vya wenzao kutoka Tanzania Bara, ambako soka la wanawake linaonekana kufanya vizuri. Mwaka 2016, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilianzisha ligi kuu ya wanawake ambayo imeendelea kufanyika na msimu wa mwisho wa 2023/2024 timu ya Simba Queens waliibuka mabingwa. Ikumbukwe kuwa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ambayo ni 17 kati ya hayo lengo namba 5 linazungumzia “Usawa wa Jinsia” hii ina maana ya ushirikishwaji na ushirikiano kwenye kufanikisha usawa wa jinsia kwa upande wa wanaume, wavulana wanawake na wasichana. Kutowashirikisha watoto wa kike katika michezo kuna sababisha athari mbaya ambazo zinaweza kudumaza maendeleo yao ya kimwili, kiakili, na kijamii. Ni muhimu kuhakikisha wasichana wanapata nafasi sawa katika michezo ili waweze kufikia uwezo wao kamili. Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania -Zanzibar (TAMWA-ZNZ), ni mmoja wa wadau wanaojaribu kukabiliana na changamo...

BAJAJI WAMLILIA RAIS DK MWINYI PEMBA ,WAOMBA MSAADA KWAKWE WASEMA WAMECHOSHWA NA HILI KUTOKA MAWASILIANO

Image
NA AMINA AHMED PEMBA. WANANCHI katika  Manispaa ya Mji wa chake chake na Vitongoji vyake walilazimika kuchelewa kakika harakati zao za kujitaftia riziki baada ya usafiri uliozoeleka kwa siku za hivi karibuni wa Bajajj kutoonekana au kuonekana chache kwenye viunga tofauti mapema leo Machi, 6, 2025. Baada ya hali hiyo kushika kasi huku wananchi wakipigwa na butwaa, mnamo Majira ya saa 3 Asubuhi  Gari za Daladala ikiwemo za Ole Kianga kuanza kuchukua Abiria hao na kuanza kuwasafirisha. Hata hivyo wakizumzia kutoonekana katika vijiwe vyao kubeba abiria baadhi ya waendesha Balaji walisema kuwa walilazimika kushiriki katika kikao  cha  dharura  kwa ajili ya kujadili  unyanyasaji wanaopata katika mamlaka za serikali ikiwemo Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kupitia mamlaka ya usafirishaji. Wamesema Mawasiliano na Baraza  MawasilianoJuu kile walichodai kuwa Wamechoshwa na Udhalilishaji wanaofanyiwa na Mamlaka hizo mb...

WAKULIMA KIUYU WALIA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

Image
Wakulima wa kilimo mseto katika shehiya ya kiunyu Minungwi wamesema baado wamekuwa wakikabiliana na changamoto ya Majichuvi kwenye maeneo mbali mbali katika shehia hio.  Kaulihio imetolewa na Fatma Shabani Mohamed kwaniaba ya wakulima katika shehiya ya kiuyu Minungwini ambaye piya ni Mwalimu   wa Wakulima anaejulikana kama TOT wakati alipokuwa akizungumza na wandishi wahabari juu  ya kutaka kuzifahamu changamoto zitokanazo na Mabadiliko ya Tabiya ya nchi katika ahehiya hio. Amesema baado wapo wanajamii hawanauwelewa wakutosha juu ya kuzijuwa athari zitokanazo na mabadiliko ya Tabiya ya nchi jambo ambalo linapelekeya kurudishanyuma maendeleo ya wakulima na wanaoishi pembezoni mwabahari. Akizitaja changamoto hizo nipamoja na kupanda kwa Maji chuvi mpaka majumbani ikiwahukoseaha wananchi kwenda kufanya kazi za kujipatia kipato. Nae sheha wa shehiya ya chwale Mchanga Said Salim amesema lichayakutolewa elimu ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabiya ya nchi lakin...

CCM KUSINI PEMBA YATOA TANO KWA SERIKALI NA VIONGOZI WAKE YAAHIDI MAZURI HAYA 2025

Na,Amina Ahmed Moh'd  -Pemba. KAMATI YA Halmashauri  kuu ya CCM  Mkoa wa Kusini Pemba imetoa Pongezi kwa Serikali zote Mbili  zinavyoendelea  kutekeleza kwa zaidi ya asilimia 100 ilani ya Uchaguzi ya mwaka   2020 / 2025   sambamba na  kutoa Huduma  zenye ubora kwa  jamii.  Akitoa Pongezi hizo kwa waandishi wa  habari   Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi  CCM  Mkoa wa Kusini Pemba  Yussuf Juma Ali    Amesema utekelezaji wa ilani  ya Uchaguzi uliofanywa na Dk Samia Suluhu Hassan Pamoja na Dk Hussein Ali Mwinyi umekuwa chachu ya katika kuleta Maendeleo  ya wazi katika sekta zote  yanayowanufaisha  wananchi Unguja ,Pemba na Tanzania .  Kamati hiyo kwa kushirikiana na wananchama wa chama cha Mapinduzi CCM imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za viongozi hao kwa kuwalipa ushindi wa vishindo chama  na viongozi hao katika uchaguzi wa  mwaka 2025. Kamati hi...