WAANDISHI WANOLEWA KUANDIKA HABARI ZA WANAWAKE NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

na Time Khamis 
‎Wandishi wa habari kisiwani Pemba wametakiwa kutumia kalama zao kufikisha elimu kwa jamii ili kujuwa athari zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi.
‎kaulihio imekuja baada ya Tamwa Zanzibar kuona baado jamii hainauwelewa kuhusu mabadiliko yatabianchi jambo ambalo limekuwa likiwaathiri  wanawake na watoto.
‎Hayo ameyasema Nafda Hindi Moh'd Afisa Mawasiliano Tamwa Zanzibar wakati alipokuwa akifunguwa mkutano kwa andishi wahabari katika ofisi yaTamwa Pemba amesema bado jitihada na sauti za wanawake hazijaoneka jambo ambalo limekuwa likiwarudisha nyuma katika maedeleo yao ya kiuchumi.
‎Nae mwezeshaji wa mafunzo hayo Ali Mbarouk Omar amesema shuhuli ambazo ziendelea kufanywa na jamii bila kudhingatia sheria zilizopo nijambo mojawapo ambalo linapelekea kuweko na changamoto za kimadhingira pale panapojitokeza mabadiliko ya Tabiayanchi.
‎Amesema jamii bado imekuwa nauzowefu wakukata miti nyeuoto waasi,kuchimba Mawe malaini,mchanga bilakuzingatia kwamba panaweza kujitokeza athari zozote wakati panapo tokea mabadiliko ya tabiayanchi.
‎Mjumbe wa bodi ya Tamwa Zanzibar Watima Rashid Issa amesema utafiti umeonesha bado habari zinazo munesha wanamke kupaza sauti yake kisisa,kiuchumi na kijamii nikidogo jambo ambalo linaleta athari kwa Wanawake na watoto ikimomo katika mabadiliko ya tabia yanchi.
‎Moja wa wandishi hao ...amesema wamefarakika sana kupata mafunzo hayo ambayo sasa watakuwa na muamko wakuandika babari zitokanazo na kipaza sauti ya mwanamke ili kumlinda na kuepukana nachangamoto ambazo zinawaoumba wakiwemo watoto zikiwemo athari za mabadiliko ya Tabia yanchi.
‎Mafunzo hayo ya siku 2 yametolewa kwa wandishi wa Habari 30 ikiwa unguja 20 Pemba 10 ikiwa ni utekelezaji wa mradi Zanz-Adopt kwa Mashirikiano na Tamwa,Community Forest Pemba na Community Forest Internation kwa ufadhili wa Canad.
‎ 

Comments

Popular posts from this blog

BAJAJI WAMLILIA RAIS DK MWINYI PEMBA ,WAOMBA MSAADA KWAKWE WASEMA WAMECHOSHWA NA HILI KUTOKA MAWASILIANO

Masheha wanawake wa Wilaya ya Magharib B walivyoleta mabadiliko na maendeleo kwenye shehia zao.

MPANG0 MKAKATI JUMUISHI WA JINSIA KATIKA MICHEZO UTEKELEZAJI WAKE UZINGATIWE.