MTU MMOJA MIKONONI MWA POLISI AKITUHUMIWA KUBAKA NA KUSABABISHA KIFO CHA MTOTO WA MIAKA SITA



Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia mtu mmoja aitwae Maulid Hassan Maulid  (18) mkaazi wa Mwera Pongwe katika Wilaya ya Kati,  Mkoa wa Kusini Unguja kwa tuhuma za mauaji ya mtoto mdogo Khadija Dadi Mhoda (06) mwanafunzi wa chekechea mkaazi wa Mwera Vichaka mabundi, shehia ya ubago.


Akizungumza na waandishi wa habari huko Tunguu , Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Kusini unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Daniel Shillah amesema tukio hilo la Mauaji lilitokea Novemba 14, 2024 huko Mwera Vichaka Mabundi ambapo Mtuhumiwa huyo alimwingilia kimwili na kumsababishia kifo chake.


Kamanda SHILLAH amesema Jeshi la Polisi Katika Mkoa huo linaendelea kufanya upelelezi ili mtuhumiwa huyo afikishwe Mahakamani.



Comments

Popular posts from this blog

BAJAJI WAMLILIA RAIS DK MWINYI PEMBA ,WAOMBA MSAADA KWAKWE WASEMA WAMECHOSHWA NA HILI KUTOKA MAWASILIANO

Masheha wanawake wa Wilaya ya Magharib B walivyoleta mabadiliko na maendeleo kwenye shehia zao.

MPANG0 MKAKATI JUMUISHI WA JINSIA KATIKA MICHEZO UTEKELEZAJI WAKE UZINGATIWE.