MZEE MASSOUD AMLILIA RAIS SAMIA

NA , AMINA AHMED MOH"D - PEMBA.    

MZEE  Masoud  Hamad Omar  mkaazi wa Wete mkoa wa Kaskazini Pemba amemuomba na  amemlilia  rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassan kumsaidia  kupata haki yake anayodai  kunyimwa kwa uonevu   na jeshi la Polisi  Tanzania .

Kilio cha mzee huyo kwenda kwa  mtetezi wa wanyonge daktari Samia  Suluhu Hassan  amekitoa leo alipokutana na waandishi wa habari kisiwani Pemba  kwa lengo maalum la kutaka wamsaidie kuyafikisha malalamiko yake  kwa kiongozi huyo mkuu aliyodai  licha ya kusubiri kwa muda mrefu  na kufuatalia haki yake aliyodhulumiwa na Jeshi hilo  ameshindwa kumfikia .

Akiongea kwa masikitiko mzee huyo amesema kuwa uonevu aliofanyiwa na jeshi hilo ni kusimamishwa kazi  kwa kosa la kutokwenda kazini siku mbili   kutokana na kuumwa na matatizo  ya wasi wasi alioyoyapata akiwa katika vitani nchini  Uganda.

Mh rais kwa heshima kubwa naomba unisaidie kupata haki zangu kutoka jeshi la Polisi , Mimi nilikuwa mfanya kazi wa jeshi la polisi kuanzia mwaka 10/ 5 /1973   na nilisimamishwa kazi  mwaka 1980 kwa kosa la kutokwenda  kazini  siku mbili bila kupewa barua  na nilikaa kusubiri kurejeshwa lakini mpka mwaka 2002  sikurudishwa  nikaamua kuomba barua ya kustaafu kwa hiari kwa vile hali yangu ya ugonjwa  bado ilikuwa haijatengamaa lakini pia jeshi hilo lilinyamaza kimya hawakunijibu chochote nikarudia tena mwezi wa 12 pia wakanyamaza kimya"Alisema kwa masikitiko  makubwa.

Tarehe 25/4/ 2003 nikamuandikia barua  waziri wa sheria na katiba wa wakati huo ili anisaidie kupata haki yangu  lakini pia sikupata majibu na wala sikuchoka mpka tarehe 13/ 4/2006 nikaandika barua nyengine kwenda kwa katibu mkuu wa  wizara ya mambo ya ndani  sasa hapo  kuna majibu yalitoka nafikiri walipewa maelekezo  jeshi la polisi na walinijibu ".

Walinijibu hivi anasema mzee Massoud
 " walinijibu kupitia hiyo barua kwa kuniambia kuwa sikuwahi kusimamishwa kazi  nilifukuzwa kazi kwa fedheha ,wakati kosa mimi sikuenda kazini siku mbili bila taarifa na nilikuwa nasababu ambayo ni  kuumwa na wasi wasi matatizo ambayo niliyapata  vitani Uganda".

" Kitendo cha  Fedheha ni kukamatwa na rushwa,kufanya ngono kazini 
Kupigana na watu ukiwa na sare za kazi na makosa mengine makubwa  na wala sio kutokwenda kazini siku 2  hilo ni kosa jengine".

 kwa zaidi ya miaka  10 sasa amekuwa akifuatalia haki zake alizozikosa kutoka kwa jeshi hilo lakini ameshindwa kuzipata ,na batua hii ilitiwa saini na inspector jenerali wa jeshi la polisi Mashayo  iliyotiwa saini kwa niaba ya inspector generali  ."

Aidha Akieleza kuhusu barua nyengine aliyojibiwa 7/ 6/2006 mzee Massoud alieleza kuwa kufuatia kosa lake la kutokwenda kazini siku 2 alitiwa hatiani kwa kosa la utovu wa nidhamu huku akipewa adhabu ya kufukuzwa kazi kwa fedheha.

" Namlilia mama mtetezi wa wanyonge anisaidie jee hii ni haki ! na barua hii mwisho ilinitaka kama sijapata dischage yangu niende kwa kamanda wa polisi anisaidie "Alieleza 

Nimeuza vipande vyangu  vya ardhi kwajili ya kusomesha watoto wangu lakini hivyo bado  nashindwa kuwaendeleza ,mama nisaidie wewe ndio mtetezi wa wanyonge ambae unapenda haki kwa wananchi wako  uwezo wa kuwafikia siwi wananchi wa chini ni kupitia vyombo vya habari".

"Niliamini ipo siku  nitaipata haki yangu kwa kuja kiongozi ambae atatusikiliza  nilitamani hata nionane na  Hayati Magufuli lakini ilishindikana hata mama Samia natamani nionane na wewe  ana kwa ana  lakini  imeshindikana namuomba unisaidie kulifanyia uchunguzi hili ili niweze kupatiwa stahiki zangu utakapoziona habari hizi Alisema ".

Nambari yangu ya kazi ni   Z.1912 PC  Masoud H.Omar  

 "Nimeshafuatilia vya NA , AMINA AHMED MOH"D - PEMBA.    

 "Nimeshafuatilia vya kutosha kwa jeshi la polisi tangia nakwenda mwenyewe mpka naaandika barua lakini lakushangaza  sijawahi kuitwa huko jeshi la polisi kupewa barua ya kuachishwa kazi, jengine ni kuambiwa nimefukuzwa kwa fedheha  malalamiko haya leo nayapeleka kwa mama Samia  yeye ndio mtetezi wetu  sisi wananchi wanyonge.  

"Ugonjwa ulionisababisha kutokuhudhuria kazini umetokana na  mambo yale tuliyopitia tukiwa huko  vitani Uganda mama Samia naamini kuapata haki zangu  kupitia wewe na kwa sababu wewe ni mwenye huruma  na ubinaadamu  kwa watu wote  "

Mwisho kwa jeshi la polisi tangia nakwenda mwenyewe mpka naaandika barua lakini lakushangaza  sijawahi kuitwa huko jeshi la polisi kupewa barua ya kuachishwa kazi, jengine ni kuambiwa nimefukuzwa kwa fedheha  malalamiko haya leo nayapeleka kwa mama Samia  yeye ndio mtetezi wetu  sisi wananchi wanyonge.  

"Ugonjwa ulionisababisha kutokuhudhuria kazini umetokana na  mambo yale tuliyopitia tukiwa huko  vitani Uganda mama Samia naamini kuapata haki zangu  kupitia wewe na kwa sababu wewe ni mwenye huruma  na ubinaadamu  kwa watu wote  "

Mwisho

Comments

Popular posts from this blog

BAJAJI WAMLILIA RAIS DK MWINYI PEMBA ,WAOMBA MSAADA KWAKWE WASEMA WAMECHOSHWA NA HILI KUTOKA MAWASILIANO

Masheha wanawake wa Wilaya ya Magharib B walivyoleta mabadiliko na maendeleo kwenye shehia zao.

MPANG0 MKAKATI JUMUISHI WA JINSIA KATIKA MICHEZO UTEKELEZAJI WAKE UZINGATIWE.