SHERIA KONGWE ZA HABARI ZISIENDELEE KUTUMIKA ZANZIBAR ZINAMINYA UHURU WA HABARI.NA , AMINA AHMED MOH’D –PEMBA
KILA ifikapo may 3 Dunia huadhimisha siku ya uhuru wa habari ambapo lengo ni kukuza uelewa wa uhuru wa habari na kuikumbusha serikali pamoja na jamii umuhimu wa kuheshimu na kulinda haki ya uhuru wa habari kwa muhimili huu namba 4 duniani kama inavyolindwa katika ibara ya 19 tamko la ulimwengu kwa haki za binaadamu.
Itakumbukwa kuwa mnamo mwaka 1993 Baraza kuu la umoja wa mataifa liliitangaza siku ya may 3 kuwa ni siku ya uhuru wa habari, huku azimio la kimataifa juu ya haki za binaadamu ni lile tamko la mkutano mkuu wa umoja wa mataifa lililotolewa tarehe 10 / 12 mwaka 1948 imeridhia uwepo wa uhuru wa kutoa maoni na kueleza kuwa kila kitu kilichopo ulimwenguni ni haki ya binaadamu , lakini pia katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kifungu cha 18 kimeeleza kuwa ‘’ Bila kuathiri sheria za nchi kila mmoja yupo huru kutoa maoni na kupata taarifa iwe za ndani au za nje ya nchi’’.
Licha ya kutambulika siku hiyo ulimwenguni lakini bado kwa upande wa Zanzibar baadhi ya vifungu vya sharia vimekuwa sio rafiki katika kutoa uhuru wa habari na wanahabari jambo ambalo limekuwa likirudisha nyuma ufanisi katika kazi hizo huku wadau wahabari kutoka taasisi mbali mbali ikiwemo chama cha waandishi wa habari wanawake Zanzibar Tamwa wakiendelea kulipazia sauti suala hili ili kuona serikali hailifumbii macho na kuchukua hatua ikiwemokufanyiwa marekebisho au kubadilishwa kabisa kwa sharia hizo.
Miongoni mwa sheria hiyo ambayo ndani yake kuna vifungu vingi vinavyominya uhuru wa habari ni Sheria ya Usajili wa Wakala wa Habari na Vitabu namba tano ya mwaka 1988 pamoja na marekebisho yake namba nane ya mwaka 1997 pamoja na Sheria ya Tume ya Utangazaji Zanzibar namba saba 1997 na marekebisho yake namba moja ya mwaka 2010.
Licha ya sheria hiyo kuwa na muda mrefu katika matumizi yake muda usiopungua miaka 20 lakini pia imekuwa kikwazo kwa baadhi ya vifungu vya sheria vilivyomo ndani yake ambavyo vinatia hofu katika kuufikia uhuru wa habari.
Makala hii leo inaangalia kifungu ndani ya sheria hiyo ambayo ni miongoni mwa vifungu vibaya kabisa kwa kufikia uhuru wa SHERIA KONGWE ZA HABARI ZISIENDELEE KUTUMIKA ZANZIBAR ZINAMINYA UHURU WA HABARI.
NA , AMINA AHMED MOH’D –PEMBA
KILA ifikapo may 3 Dunia huadhimisha siku ya uhuru wa habari ambapo lengo ni kukuza uelewa wa uhuru wa habari na kuikumbusha serikali pamoja na jamii umuhimu wa kuheshimu na kulinda haki ya uhuru wa habari kwa muhimili huu namba 4 duniani kama inavyolindwa katika ibara ya 19 tamko la ulimwengu kwa haki za binaadamu.
Itakumbukwa kuwa mnamo mwaka 1993 Baraza kuu la umoja wa mataifa liliitangaza siku ya may 3 kuwa ni siku ya uhuru wa habari, huku azimio la kimataifa juu ya haki za binaadamu ni lile tamko la mkutano mkuu wa umoja wa mataifa lililotolewa tarehe 10 / 12 mwaka 1948 imeridhia uwepo wa uhuru wa kutoa maoni na kueleza kuwa kila kitu kilichopo ulimwenguni ni haki ya binaadamu , lakini pia katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kifungu cha 18 kimeeleza kuwa ‘’ Bila kuathiri sheria za nchi kila mmoja yupo huru kutoa maoni na kupata taarifa iwe za ndani au za nje ya nchi’’.
Licha ya kutambulika siku hiyo ulimwenguni lakini bado kwa upande wa Zanzibar baadhi ya vifungu vya sharia vimekuwa sio rafiki katika kutoa uhuru wa habari na wanahabari jambo ambalo limekuwa likirudisha nyuma ufanisi katika kazi hizo huku wadau wahabari kutoka taasisi mbali mbali ikiwemo chama cha waandishi wa habari wanawake Zanzibar Tamwa wakiendelea kulipazia sauti suala hili ili kuona serikali hailifumbii macho na kuchukua hatua ikiwemokufanyiwa marekebisho au kubadilishwa kabisa kwa sharia hizo.
Miongoni mwa sheria hiyo ambayo ndani yake kuna vifungu vingi vinavyominya uhuru wa habari ni Sheria ya Usajili wa Wakala wa Habari na Vitabu namba tano ya mwaka 1988 pamoja na marekebisho yake namba nane ya mwaka 1997 pamoja na Sheria ya Tume ya Utangazaji Zanzibar namba saba 1997 na marekebisho yake namba moja ya mwaka 2010.
Licha ya sheria hiyo kuwa na muda mrefu katika matumizi yake muda usiopungua miaka 20 lakini pia imekuwa kikwazo kwa baadhi ya vifungu vya sheria vilivyomo ndani yake ambavyo vinatia hofu katika kuufikia uhuru wa habari.
Makala hii leo inaangalia kifungu ndani ya sheria hiyo ambayo ni miongoni mwa vifungu vibaya kabisa kwa kufikia uhuru wa habari huku waathirika wakubwa wakiwa ni waandishi wa habari ambao wanaaminika kwa baadhi ya vifungu vya sharia hizo ni wahalifu na wachochezi katika taifa .
Vifungu hivyo ni kifungu namba 27 (1) pamoja na kifungu cha 34 (4) ambacho kimempa mamlaka afisa yeyote wa jeshi la polisi pamoja na waziri mamlaka ya mwisho na sio mahkama ambayo ndio mtoaji maamuzi ya mwisho,maneno makali kama vile kudhibitiwa,na uchochezi nilizungumza na baadhi ya wanasheria akiwemo Safia Swaleh Sultan anasema kuwa ilitakiwa kifungu hicho cha sheria kiwekwe mashauriano ya pamoja kati ya bodi ya ushauri na itakapojiridhisha itoe maamuzi ya pamoja katika kulifungia gazeti au chombo ambacho watahisi limeenda kinyume.
“Sheria iendane na katiba isiwe katiba inaelekeza hivi sheria ifanye vyengine utawala wa sheria iendane na zifuate katiba alisema Siti Habib Muhammed mwanasheria kutoka shirika la msaada wakisheria Zanzibar .
Faraji Shomari mwanasheria kutoka ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka anasema kuwa hakuna haki kufuatioa kifungu hichi cha sharia ambacho waziri anakuwa na muamuzi wa mwisho na hayatatolewa maamuzi na mahkama yeyote wala mabadiliko yeyote yale ikiwemo maamuzi ya rufaa.
‘’ikiwa mamuzi yatashindikana kutoka kwa waongozaji na yakaletwa kwa mahkama kuna uwezo wa kukatiwa rufaa mahakamani au mahkama kuu uwezo wa kupima haki juu ya kilichoamuliwa na waziri ni sahihi au sio sahihi na hiyo ndio haki na uhuru uhuru sio kumpa mtu mmoja mamlaka na mwengine kukosa hata kujieleza au kusikilizwa.
Waziri kuwa mtu wa mwisho katika kutoa maamuzi ya habari vyombo vya habari vimefinywa uhuru wake natamani sharia hizi ziangaliwe upya ziendane na mabadiliko ya teknlogia ya habari alisema Halfan Amour Muhamed mwanasheria wakujitegemea Pemba.
WANAHABARI.
Is -haka Muhammed Rubea kutoka Zenj fm radio yeye anasema kuwa vifungu hivyo ambavyo ni kikwazo kwa uhuru wa habari vinaulazima wa kurekebishwa kutokana na kukwaza kwake katika kujieleza na kupata taarifa.
‘’ Mwaka 2009 kulikuwa na gazeti moja ambalo lilimilikia na Zanzibar media cooperation ambayo ndio hii inayomiliki zenj fm ninayofanyia kazi mimi licha ya kuwa halikuwahi kusambazwa lilikuwa linaitwa taifa huru lilitakiwa lisambazwe siku ya tarehe 12 lakini waziri mwaka huo tarehe 11 usiku akazuia kwamba hili gazeti lisisambazwe licha ya kuwa tayari lilishachapishwa na fedha kutumika nyingi’’.
Halikuweza kusikika tena na wala shirika halikuweza kupata nguvu kwa sababu ya mamlaka aliyopewa waziri ndani ya sharia hiyo ulioitaja tunatamani iondolewe hata leo ili tuwe huru katika kazi zetu na vyombo vyetu vya habari.
‘’Wananchi wanahitaji kulishwa habari kutoka kwetu sisi waandishi wa habari au vyombo vya habari ikitokea hapati au anapata isiyoshiba kutokanana hofu ni athari kubwa na ni dhahiri hakuna uo uhuru ‘’ alisema mwandishi kutoka radio jamii mkoani Time Khamis Mwinyi .
Bakari Mussa Juma mwandishi kutoka Zanzibar leo Pemba kwa upande wake anasema kuwa athari zinaweza kutokea kutokana na kupungua kwa viwango katika habari mara kwa mara na kuwakosesha watu haki yao katika kupata taarifa.
WADAU WA HABARI WASEMAJE
Hafidh Abdi Said kutoka KUKHAWA anasema kuwa sharia za habari Zanzibar zinabana sana kiasi ambacho hata muandishi wa habari anapotaka kuzungumza anahofia kumkwaza kiongozi fulani hata kama habari hiyo ni kwa maslahi ya wananchi jambo ambalo ni ngumu kwa muandishi kuwa huru kufanya kazi zao ipasavyo.
‘’ Sheria zinazogusa mambo ya habari zinahitaji kuangaliwa ili kuona zinakwenda na wakati uliopo sasa na kuwaweka salama wanahabari kama wadau tunbaliona hilo na tunajitahidi kulipazia sauti tunaamini serikali yetu ni sikivu na italiona hilo kwa uhuru mpana wa habari
‘’Sheria hizi zinalalamikiwa sana zina mapungufufu mengi zina changamoto nyingi zinazokwaza na jambo linapolalamikiwa sana na wengi ni dhahiri kuwa linakwaza tunaiomba serikali kupitia taasisi husika ya tume ya marekebisho ya sharia kuzifanyia kazi ili waandishi wapate uhuru wa kufanya kazi zao kwa uweledi’’ alisema Mgeni Kombo Khamis kutoka PPC.
‘’Tunapata atahari kubwa wanajamii tunaathirika hatupati habari ipasavyo vinaponyimwa uhuru au kufungiwa au waandishi kuogopa kuandika ukweli kwa kumuhofia mtu tutakuwa hatujui kinachoendelea ndio yale yale tutaishia kusema tunachoamini sisi tunaiomba serikali iziangalie upya kama zinakazwa ziondolewe ili uhuru upatikane ‘’ alisema asya massoud mwananchi .
Siku hii ya habari duniani ikawe chachu ya kuleta mabadiliko katika sharia hizi na vifungu vyake kwa upande wa Zanzibar ili kupatikane mageuzi katika tasnia ya habari kwa viongozi kulipa kipaumbele suala hili la kufanyiwa marekebisho sharia kandamizi zinazonyima uhuru wa habari
MW huku waathirika wakubwa wakiwa ni waandishi wa habari ambao wanaaminika kwa baadhi ya vifungu vya sharia hizo ni wahalifu na wachochezi katika taifa .

Halikuweza kusikika tena na wala shirika halikuweza kupata nguvu kwa sababu ya mamlaka aliyopewa waziri ndani ya sharia hiyo ulioitaja tunatamani iondolewe hata SHERIA KONGWE ZA HABARI ZISIENDELEE KUTUMIKA ZANZIBAR ZINAMINYA UHURU WA HABARI.

MW ili tuwe huru katika kazi zetu na vyombo vyetu vya habari.

MW
Comments
Post a Comment