TAARIFA KUTOKA OIFISI YA MBUNGE JIMBO LA TUMBE ,,,,
Kwa niaba ya mhe mbunge wa jimbo la tumbe Amour Khamis Mbarouk , tunaw ashukuruni sana viongozi wa ccm na serakali na wananchi wote kiujumla kwa mashirikiano yenu na kututia moyo katika kazi zetu
Sisi ofisi ya mbunge tutaendelea kumshauri na kumuelekeza vyema mhe mbunge mambo yote muhimu ya chama na yale yakijamii ambayo niyakimaendeleo kuyatekeleza,,
Sisi tutaendelea kupokea changamoto za wananchi kwa ajili ya kuzitatua , kushauri na kuzifatilia,,,
Kwa kipekee kabisa tunazishukuru ofisi za chama na serekali zilizomo ndani ya mkoa wa kaskazini Pemba pamoja na watendaji wake wote kwa ushirikiano wa dhati kabisa tunao upata kutoka kwao,,,
Dhamira na malengo yetu nikuboresha miundombinu ya chama na yakijamii kwa upande wa chama kuboresha ofisi zote za ccm ndani ya jimbo la tumbe na kuhakikisha tumeweka mazingira mazuri ya vitega uchumi vya ccm ili kuweza kujiendesha kwenye utendaji wake ,,,
Tutafanya mambo mengi mazuri kwa mashauri ila pale tutakapo fanya mazuri na tukasahau kushauriana basi mtuchukulie alimrati hatuto kiuka katiba ya nchi na katiba ya chama cha mapinduzi , na tutafanya kwa ajili ya kutekeleza vyema ilani ya CCM ,,,
Mwisho tunaomba muendelee kutushauri yalio mazuri kwa njia nzuri na yakujenga na tunapo teleza mutusamehe na mutuelekeze kwa njia nzuri na yakujenga tukizingatia katika dunia hakuna mkamilifu
Imetolewa na ofisi ya
Mbunge jimbo la tumbe
Katibu wa mbunge jimbo la tumbe
Hamad Juma Maous
0777703303 .
Comments
Post a Comment