RADIO ELIMU KUPATA STUDIO ZAKE MUDA MFUPI KUTOKA SASA.
Amina Ahmed.
Baada ya uongozi wahappy radio class kufanya ziara yake katika maeneo ya Mitambo ya radio elimu, Studio inayotarajiwa kutumika kwa ajili ya kuendeshea shughuli mbali mbali za radio pamoja na kutembelea skuli inyotarajiwa kisiwani pemba na hii ni baada ya kupokea mlalamiko ya kutokusiklikana kwa radio hiyo kisiwani pemba.
Picha za matukio mbali mbali
Comments
Post a Comment