JITIHADA ZAIDI ZINAHITAJIKA KUDHIBITI ONGEZEKO LA WAGONJWA WA KIFUA KIKUU ZANZIBAR

Na AMINA AHMED MOH’D. 

Kifua Kikuu sio Jina la ugonjwa Mgeni ndani ya masikio ya waliowengi  ambapo wapo wanaochukulia   kuwa ni ugonjwa wa kawaida lakini pia wapo wasiojua  kabisa ni  ugonjwa gani, unasababishwa na nini  lakini pia tiba yake pamoja na athari zake ni zipi. 

Kwa faida ya  wasomaji wa gazeti hili Kifua Kikuu ni Aina  ya ugonjwa wa kuambukiza unasababishwa na bacteria  Aina ya   turbeclosis  kwa kifupi (TB) ulio ambapo Ugonjwa huu husababishwa na aina mbalimbali za bakteria ambazo hujulikana kama Mycobacterium tuberculosis.
 Mfano wa Mapafu yalioathrika kutokana na ugonjwa wa Kifua Kikuu.    Picha hii ni Kwa Hisani ya mitndao ya kijamii. 

Uambukizwaji wa ugonjwa huu  huambukizwa kwa Njia ya hewa   Ambapo magonjwa mwenye (TB) uambukiza wengine waliokiwa hawana pindi anapokohoa, anapozungumza, kucheka au kuimba. 

TB ni miongoni mwa magonjwa  10 sugu ya kuambukiza  Duniani ambayo yanaongoza  kupoteza maisha ya watu siku hadi siku.

 Kwa mujibu wa shirika la Afya Duniani Tanzania  Takwimu zilionesha kuwa  Takriban watu 133000   wanaishi na ugonjwa wa kifua kikuu.

Makala hii inajikita zaidi kungalia ugonjwa wa Kifua Kikuu TB   unavyoongezeka siku hadi siku Visiwani Zanzibar   Licha ya tahadhari kuchukuliwa na Wizara husika jambo ambalo linahitaji nguvu ya ziada katika kuendelea mapambno   ili kuepusha vifo vitokanavyo na ugonjwa huu. 

TAKWIMU KWA KIPINDI CHA MIAKA MITANO ZANZIBAR 

Katika  Kipindi Cha  Miaka Mitano idadi yawagonjwa wa Kifua Kifuu (TB)   ilikuwa ni yakupanda na kushuka Ambapo Mwaka 2017 ilikuwa na wagonjwa 948.
Mwaka 2018 Wagonjwa  944
2019 wagonjwa Wa kifua kikuu kufikia idadi ya  967
Wagonjwa katika mwaka 2020 ilikuwa  na wagonjwa  1074
Mwaka  2021   ikawa na jumla ya wagonjwa 1090.
 na hii ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya Zanzibar. 

Kwa hapa Visiwani Zanzibar Licha ya Juhudi mbali mbali zinazoendelea kuchukuliwa na  Wizara ya Afya kupitia  kitengo shirikishi   cha maradhi ya kuambukiza   Homa ya ini Kifua Kikuu na ukimwi lakini bado idadi ya wagonjwa wa Kifua Kikuu inaendelea kuongezeka siku hadi siku Visiwani Zanzibar. 

Ambapo kwa mujibu wa  ugunduzi  Wa Kubaini  Idadi ya wagonjwa wa kifua kikuu Zanzibar  uliofnywa na kitengo hicho Kwa kushirikina na vituo mbali mbali vya Afya unguja na Pemba vimebainisha  kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa wa Kifua Kikuu  ukilinganisha na miaka iliyopita  huku baadhi ya wilaya zikiongoza kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wa Kifua kikuu.

Utafiti huo umebaini na kukisia kuwa  Zanzibar Kuna wagonjwa  124  Kati ya kila  laki moja  100000 ambapo ni Sawa  na wagonjwa 1, 612  kwa mwaka. 

Huku wagonjwa 1, 090 wakigunduliwa katika mwaka 2021 Sawa na asilimia 68.

MIKOA INAYOONGOZA KWA IDADI YAWAGONJWA WA KIFUA KIKUU

  KISWANI UNGUJA

 Ipo mikoa ambayo inaongoza kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa maradhi ya Kifua Kikuu hapa Visiwani Zanzibar ambapo kwa upande wa kisiwa cha Unguja wilaya ya Mjini ilikuwa na idadi kubwa ya wagonjwa 281 kwa mwaka 2020 huku Mwaka 2021  ikiwa na idadi ya wagonjwa 186 wa Kifua Kikuu Ambapo  Utafiti huo unaonesha kuwa  mwaka 2020 idadi  ya wagonjwa  kwa upande wa wilaya ya maghrib A ilikuwa wagonjwa 76  Na  2021 idadi ya wagonjwa iliongezeka  na kufikia 122.
 
 Kwa upande wa wilaya ya maghrib b mwaka 2020 idadi ya wagonjwa  ilikuwa ni  124  huku takwimu hizo zikionesha kuwa mwaka 2021 zimeongezeka kwa kuwa na idadi ya wagonjwa 164.

Hiyo ni kwa upande wa  mkoa wa  mjini  maghrib    ambapo  Mka wa kaskazini wilaya  ya  kaskazini A  mwaka 2020 ilikuwa na jumla ya wagonjwa  96  huku mwaka 2021 ikabainika kuwa na wagonjwa 79  Ambapo wilaya ya kaskazini b  ugunduzi huo ulibainisha kuwa mwaka 2020 ulikuwa na idadi ya ya wagonjwa wa Kifua Kikuu  57 huku idadi ya wagonjwa ikiongezeka na kuwa na wagonjwa 73 kwa mwaka 2021. 

 Jee upande wa  mkoa wa kusini unguja hali ya ugonjwa wa Kifua Kikuu ikoje ! Ugunduzi ulionesha kuwa katika kipindicha mwaka 2020 wagonjwa  86 walibainika katika hospitali na vituo vya Afya mbali mbali  vya wilaya  ya Kati  ambapo mwaka 2021 idadi ya wagonjwa Hao ikipungua na kufikia 62 huku wilaya  ya kusini ikibainika kuwa na wagonjwa 15  katika kipindi cha mwaka  na 2020 kuwa na  wagonjwa 22  mwaka 2021. 

  Upande wa kisiwani cha unguja ugonjwa huu  umeonekana kwa kiasi kikubwa katika wilaya ya mjini . 

 HALI IPOJE KISIWA CHA PEMBA 

  Tuangalie Hali ya ugonjwa huu kwa upande wa  ksiwa cha Pemba ambacho kina jumla ya wilaya nne katika mikoa miwili ambapo wilaya ya wete ikiongoza kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa Kifua Kikuu ambapo ugunduzi ulibaibisha kuwa wagonjwa  105  kwa mwaka  waliofanyiwa uchunguzi mwaka 2020 huku idadi ikiongezeka  na kufikia 140 mwaka 2021. 
 
Kwa upande wa wilaya ya Micheweni ambayo Ilikiwa na wagonjwa 54  na 7 mwaka 2020.
 
  Tuiangalie wilaya ya Chake Chake na  mwenendo wa ugonjwa Huu wa Kifua Kikuu (TB) ili Anika na kugunduliwa jumla ya wagonjwa  120 kwa mwaka 2020 huku   mwaka uliofuata ikawa na idadi ya wagonjwa   111. 

Wilaya ya  Mkoani nako Hali ikoje 2020 ilikuwa na wagonjwa  60  na mwaka 2021 ikagundulika kuwa na wagonjwa  54.

  WAHUSIKA WANASEMAJE KATIKA KUDHIBITI UGONJWA  HUU

 Mratibu kitengo shirikishi  ukimwi, Homa ya ini Kifua Kikuu na Ukoma  Pemba   Dk Khamis  Hamad Ali Alisema kuwa  idadi ya wagonjwa Hao inaongezeka  kila mwaka kutokana  na wananchi kuhamasika  kupima Afya zao   ."Ni kweli Baadhi ya wilaya  Zina idadi kubwa ya wagonjwa lakini hii ni kutokana na  wananchi kupima Afya zao, na huo ni mkakati wa makusudi uliowekwa na Wizara ya Afya kupitia kitengo hicho ili kuweza kuwabaini wagonjwa  wa TB.

 Alieleza kuwa "tunaendelea kuchukua hatua za kuwapatia matibabu wagonjwa  wa  Kifua kikuu  ambao wanabainika na dalili za awali lakini pia   wale Ambao ni wagonjwa wenye Kifua Kikuu sugu tunaendelea pia kuwafuatilia majumban kuwapatia matibabu lakini elimu ya kujikinga ili wasiambukize ugonjwa kwa wengine lengo ni kuona tunadhibiti vifo vitonavyo na ugonjwa huu alisema.
 
Jee kwanini idadi inaongezeka na kupungua mkakati wa Wizara ni upi!  Juu ya  kudhibiti ugonjwa huo usiendelee. 

  "Mikakati mikubwa moja  Wizara inaendelea kutoa huduma za upimaji  wa Kifua  kikuu Bure ambapo   gharama  za  uchunguzi zote hulipwa na serikali wananchi  niwaase kupima makohozi kugundua Hali za Afya zao  Mara waonapo dalili za ugonjwa huu Hakuna gharama yeyote ni Bure kabisa alisema.
Jengine ni kufuatilia wagonjwa  lakini pia kuwaanzishia matibabu pindi wanapobainika kuambukiza ugonjwa, Jengine tunaendelea kutoa elimu kuhusu ugonjwa huu  kupitia vyombo vya Habari mbali mbali.
alisema.

 NAO WANANCHI WANAMAONI GANI 

Wakitoa Maoni Yao baadhi ya wananchi akiwemo mchanga  Haroub shehe  wameiomba serikali   kupitia Wizara ya Afya  kuweka ulazima  wa kupima Afya  zao na  watakapougundilikana kwa haraka   waanzishiwe matibabu. 

"Rai yangu Mimi  isewekwe ni hiari ya mtu kipima ugonjwa wa Kifua Kikuu ni Heri iwekwe ni lazima  mtu yeyote anapokwenda hospital  apimwe huu ugonjwa  itasaidia kwanza wagonjwa kujulikana. Lakini pia kuanzishwa matibabu alisema". 

Kwa upande  wake  Time Khamis Mwinyi ambae ni Mkaazi wa micheweni amelalamikia  kucheleweshwa kwa majibu endapo mtu atafanya vipimo vya ugonjwa huo ambapo ameiomba Wizara ya Afya kuliangalia vyema suala hili katika kuona  kasi ya kudhibiti  kuenea kwa ugonjwa inafikiwa  katika wilaya  hiyo. 
Picha Kwa Hisani ya Mitandao ya kijamii. 

 MAONI YA WANANCHI

WAHUSIKA WANASEMAJE BAADA YA MAONI HAYO YA WANANCHI. 

Akizungumza suala la ucheleweshwaji  wa   majibu kwa wagonjwa hao Mratibu wa  Kifua Kikuu Pemba  Ali Amrani  Amesema Ucheleweshwaji  huo ni kutoka a na sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa  vifaa  vya kuchunguzia ugonjwa huo katika baadhi ya hospital ambapo kwa Sasa suala hilo limeshafanyiwa maboresho. 

"Nikiri Zamani kulikuwa na hilo tatizo lakini Sasa  labda  walalamikaji hao walikwenda Zamani  katika  hiyo hospital lakini tayari limeshachukuliwa hatua baada ya kuonekana ni usumbufu  kwa hiyo  mgonjwa yeyote atakaefanya vipimo vya Kifua Kikuu  Ataweza kupatiwa  majibu yake kwa muda mfupi hosptali yeyote,  wito wangu wajitokeze kupima tu usumbufu huo umeshatatuliwa". 

MADAKTARI  WANAELEZA KIUNDANI UGONJWA WA KIFUA KIKUU

  Akizungumzia ugonjwa huu moja Kati ya  Daktari wa  Kifua Kikuu  kisiwani Pemba Hamad  Omar Hamad  Alieleza kuwa  dalili za ugonjwa wa Kifua Kikuu ambapo aliwataka wananchi   ku chukua hatua za kufika hospitali kufanya uchunguzi  endapo watakuwa na dalili kama hizi.

,"Dalili ni nyingi lakini  moja ni  mtu kuwa na kikohozi kwa muda mrefu ambapo atakohoa kwa zaidi ya wiki mbili, na makohozi hayo wakati mwengine huchanganyika na damu. 

Alindelea kuwa kutoka na jasho jingi wakati wa usiku  hata kama ni kipindi cha baridi, kukonda na kupungua uzito bila ya sababu maalum, pamoja na Homa za mfululizo kwa wiki mbili au Zaid hasa wakati wa jioni. 

 Katika hatua nyengine daktari huyo  Alieleza  Aina za Kifua Kikuu zilizopo ambapo alisema kuwa Kifua Kikuu  cha ndani ya mapafu  ambapo Alieleza kuwa Kifua hicho  huambukiza  kwa kasi zaidi. 
"Aina nyengine ya Kifua Kikuu ni Kifua Kikuu cha nje ya mapafu  ambacho huathiri sehemu yeyote Ile ya nje katika miwili kama vile viungo, ngozi, mifupa, kibofu cha mkojo, tezi, ngozi inayozunguka Moyo na  mapafu, Uti wa mgongo na ubongo ambapo Aina hii ya Kifua Kikuu haiambukizi". 

Hata hivyo daktari huyo alitowa  Rai za kuweza kumaliza maradhi ya Kifua Kikuu  Ambapo amewataka wagonjwa wa Kifua Kikuu kuacha usugu wa ku tumia xawa zakifua kikuu (TB) lakini pia kuepuka mikusanyiko isiyoyalazima katika makundi mbali mbali ya watu   ili Kusaidia kuzuia vifo vitokanavyo na ugonjwa huo.
 
Kifua Kikuu ni ugonjwa hatarii na sugu lakini unaweza kutibika na kuzuilika  katika kuona vifo vitokanavyo na ugonjwa huo haviongezeki Zanzibar endapo wananchi watajitokeza kufanya uchunguzi wa Afya zao juu ya ugonjwa huu lakini  serikali  kuchukua hatua za makusudi za kuweka ulazima wa kupima ugonjwa huu ili idadi   ya vifo visiongezeke. 
Miongoni mwa mambo makuu yanayirudisha nyum maendeleo kwa wananchi ni maradhi nafsi hujaahofu  hivyo ushirikiano   kati ya serikali na mashirika mbali mbali yanayosaidia afya kwa wananchi  ni vyema kuzidisha bidii juu ya kupunguza idadi ya wagonjwa pamoja na kudhibiti kuongezeka kwa kesi mpya za ugonjwa huu. 
  
Akizungumza suala la ucheleweshwaji  wa   majibu kwa wagonjwa hao Mratibu wa  Kifua Kikuu Pemba  Ali Amrani  Amesema Ucheleweshwaji  huo ni kutoka a na sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa  vifaa  vya kuchunguzia ugonjwa huo katika baadhi ya hospital ambapo kwa Sasa suala hilo limeshafanyiwa maboresho. 

"Nikiri Zamani kulikuwa na hilo tatizo lakini Sasa  labda  walalamikaji hao walikwenda Zamani  katika  hiyo hospital lakini tayari limeshachukuliwa hatua baada ya kuonekana ni usumbufu  kwa hiyo  mgonjwa yeyote atakaefanya vipimo vya Kifua Kikuu  Ataweza kupatiwa  majibu yake kwa muda mfupi hosptali yeyote,  wito wangu wajitokeze kupima tu usumbufu huo umeshatatuliwa". 

MADAKTARI  WANAELEZA KIUNDANI UGONJWA WA KIFUA KIKUU

  Akizungumzia ugonjwa huu moja Kati ya  Daktari wa  Kifua Kikuu  kisiwani Pemba Hamad  Omar Hamad  Alieleza kuwa  dalili za ugonjwa wa Kifua Kikuu ambapo aliwataka wananchi   ku chukua hatua za kufika hospitali kufanya uchunguzi  endapo watakuwa na dalili kama hizi.

,"Dalili ni nyingi lakini  moja ni  mtu kuwa na kikohozi kwa muda mrefu ambapo atakohoa kwa zaidi ya wiki mbili, na makohozi hayo wakati mwengine huchanganyika na damu. 

Alindelea kuwa kutoka na jasho jingi wakati wa usiku  hata kama ni kipindi cha baridi, kukonda na kupungua uzito bila ya sababu maalum, pamoja na Homa za mfululizo kwa wiki mbili au Zaid hasa wakati wa jioni. 

 Katika hatua nyengine daktari huyo  Alieleza  Aina za Kifua Kikuu zilizopo ambapo alisema kuwa Kifua Kikuu  cha ndani ya mapafu  ambapo Alieleza kuwa Kifua hicho  huambukiza  kwa kasi zaidi. 

"Aina nyengine ya Kifua Kikuu ni Kifua Kikuu cha nje ya mapafu  ambacho huathiri sehemu yeyote Ile ya nje katika miwili kama vile viungo, ngozi, mifupa, kibofu cha mkojo, tezi, ngozi inayozunguka Moyo na  mapafu, Uti wa mgongo na ubongo ambapo Aina hii ya Kifua Kikuu haiambukizi". 

Hata hivyo daktari huyo alitowa  Rai za kuweza kumaliza maradhi ya Kifua Kikuu  Ambapo amewataka wagonjwa wa Kifua Kikuu kuacha usugu wa ku tumia xawa zakifua kikuu (TB) lakini pia kuepuka mikusanyiko isiyoyalazima katika makundi mbali mbali ya watu   ili Kusaidia kuzuia vifo vitokanavyo na ugonjwa huo. Picha kwa hisani ya mitandao ya kijamii. 
 
Kifua Kikuu ni ugonjwa hatarii na sugu lakini unaweza kutibika na kuzuilika  katika kuona vifo vitokanavyo na ugonjwa huo haviongezeki Zanzibar endapo wananchi watajitokeza kufanya uchunguzi wa Afya zao juu ya ugonjwa huu lakini  serikali  kuchukua hatua za makusudi za kuweka ulazima wa kupima ugonjwa huu ili idadi   ya vifo visiongezeke. 

Miongoni mwa mambo makuu yanayirudisha nyuma maendeleo kwa wananchi ni maradhi nafsi hujaahofu  hivyo ushirikiano   kati ya serikali na mashirika mbali mbali yanayosaidia afya kwa wananchi  ni vyema kuzidisha bidii juu ya kupunguza idadi ya wagonjwa pamoja na kudhibiti kuongezeka kwa kesi mpya za ugonjwa huu. 
Mwisho. 

Comments

Popular posts from this blog

BAJAJI WAMLILIA RAIS DK MWINYI PEMBA ,WAOMBA MSAADA KWAKWE WASEMA WAMECHOSHWA NA HILI KUTOKA MAWASILIANO

Masheha wanawake wa Wilaya ya Magharib B walivyoleta mabadiliko na maendeleo kwenye shehia zao.

MPANG0 MKAKATI JUMUISHI WA JINSIA KATIKA MICHEZO UTEKELEZAJI WAKE UZINGATIWE.