ZIARA UKAGUZI WA UTENDAJI SEKTA YA AFYA PEMBA YAENDELEA
WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MH NASSOR AMHED MAZOUR AMENDELEZA ZIARA YAKE KWA SEKTA YA AFYA KISIWANI PEMBA AMBAPO LEO AMETEMBELEA KITENGO CHAMARADHIYASIYOPEWA KIPAUMBELEA NA KUKUONANA NA MADTR WA KICHINA WANAO SIMAMIA MRADI WAKUTOKOMEZA UGONJWA WA KICHOCHO .
AMESEMA AMERIDHISHWAN
NA KAZI INAYOFANYWA NA MADAKTARI HAO KWA KUFANYA UCHUNGUZI NAUTOAJI WA MATIBABU KWA WANANCHI .
AIDHA AMESEMA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ITAENDELEA KUUNGA MKONOJUHUDU ZA MADAKTARI KATI Y SERIKALI MBILI HIZO KWANI ZINA UNDUGU WA MUDA MREFU.
NAE KIONGOZI WA TIMU YA MADAKTAR HAO DR HUWANG AMESEMA WAMEWEZA KUPITIA MAENEO MBALI MBILI KISIWANI PEMBA AMBAYOYALIKUA YANA MAZALIA YAKONOKONO IKIWEMO MAENEO YA MAWZIWA NAKUTIADAWA MAENEO HAYO PAMOJA NAKUTOA ELIMU MASKULINI KWAWANAFUNZA JUU YA KUFAHAMU MADHARAYAUGONGWAHUO.
Comments
Post a Comment