WIZARA YA AFYA YAWAPA UJUMBE HUU VIONGOZI WA DINI KUUFIKISHA KATIKA JAMII
MKUU wakitengo cha elimu ya afya zanzibar Bakar Hamad Magarawa amewataka viongozi wa dini kutoa elimu y kujikinga magonjwa ya maradhi miripuko ikiwemo ugonjwa wa Mpox na ugonjwa wa kuharisha.
Amesema ugonjwa Mpox una ambukizwa na wanyam pori nyani, tumbili na swale mwitu hivyo ameiyomba jamii kuach kutumia kula wanya pori kiholela kwa kusuru ugonjwa huo .
Akitaja makundi hatari yakupta maambukizi ya Mpox ni watu wenye afya zaifu mfano watu wenye magonjwa ya kudumu.
Comments
Post a Comment