Mkutano Maalum
HABARI NA TAMWA ZANZIBAR.
Leo November 22 TAMWA-ZNZ Kwa kushirikiana na wadau wengine Shirika la SHIJUWAZA pamoja Shirila linalojihusisha maswala ya watu wenye ulemavu Norway (NAD) wameanza mafunzo ya siku nne kwa baadhi ya maafisa wa taasisi hizo kwa hatua ya mwisho kabla ya kuanza kutekelezwa kwa mradi mpya utakaofanyika katika maeneo mbali mbali Unguja na Pemba, kuwawezesha watu wenye ulemavu kutambua haki zao za kiuchumi pamoja na kuongeza ushiriki na ushirikishwaji wao katika shughuli za kiuchumi kwa lengo la kuwaongezea kipato, kupunguza umasikini na kuondokana na utegemezi.(Kijaluba iSAVE Project)
Comments
Post a Comment