Posts

Showing posts from October, 2024

ZNCC Yawafikia wafanya biashara Pemba

Jumuiya ya kitaifa ya wafanyabiashara Zanzibar ZNCC imewafikia   wafanyabiashara waliopo kisiwani Pemba na kushirikiana nao katika kuwajengea miundombinu imara Ili kufikia maendeleo endelevu. Akiwa katika ziara ya kutembelea wafanyabiashara mbali mbali huko wilaya ya mkoani mratibu kutoka jumuiya ya wafanyabiashara ya kitaifa Zanzibar ZNCC  Khalfan Amour Muhammed  amesema wajasiriamali wengi amesema  Bado wajasiriamali hawajitangazi na  kuonesha uwezo wao wa kazi katika kufikia  viwango ubora vinavyohitajika . Aidha amesema ZNCC imeandaa mradi ulio kwa lengo la kuwasaidia wafanyabiashara katika Kuwapatia fursa mbali mbali Ili waweze kufikia malengo yao sambamba na kuwakuza kiuchumi. Wakitoa changmoto zao wajasiriamali hao wamesema kuwa ukosefu wa vitendea kazi umekua ukiwapelea kushindwa kufanya kazi zao Kwa ufanisi. Aidha wamewaomba wafanyabiashara walioko kisiwani Pemba kuwasogezea karibu malighafi Ili Wendell  sambamba na wajasiriamali wengine....

WADAU WAANZA KUMUITA HAMISA FURSA KATIKA MICHEZO

Image
NA AMINA AHMED, PEMBA. NISHAITWA  katika mafunzo ya michezo mara mbili siku na wadau tofauti wananipigia simu  nilisema nikutafute mwandishi lakini namba yako Ilinipotea na huku nina mambo mengine nikahaflika nashukuru leo tumeonana tena.  Waalimu tunapokuwa katika mazoezi ya vitendo wananikubali sana wananiambia kweli niko fiti na ninauwezo wa michezo Alisema . Ni maneno ya Hamisa Omar  Hamad  mwanamichezo kutoka  Club ya mazoezo ya viungo Gombani fitness kuanza kufikiwa na fursa za kushirikishwa katika michezo alipokutana na mwandishi wa habari hizi  katika uwanja wa Gombani akiwa katika harakati za kuoatiwa mafunzo ya vitendo juu ya  kutumia mbinu za michezo  kupamabana na vitendo vya udhalilishaji yalioandaliwa na  Chama cha wanasheria wanawake Zanzibar Zafela. Hamisa ambae awali alitamani kupata fursa ya kushirikishwa katika michezo mbali mbali ambayo  anaamini kwa utayari wake na uthubutu alionao anawez...