Posts

Showing posts from February, 2025

WAKULIMA KIUYU WALIA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

Image
Wakulima wa kilimo mseto katika shehiya ya kiunyu Minungwi wamesema baado wamekuwa wakikabiliana na changamoto ya Majichuvi kwenye maeneo mbali mbali katika shehia hio.  Kaulihio imetolewa na Fatma Shabani Mohamed kwaniaba ya wakulima katika shehiya ya kiuyu Minungwini ambaye piya ni Mwalimu   wa Wakulima anaejulikana kama TOT wakati alipokuwa akizungumza na wandishi wahabari juu  ya kutaka kuzifahamu changamoto zitokanazo na Mabadiliko ya Tabiya ya nchi katika ahehiya hio. Amesema baado wapo wanajamii hawanauwelewa wakutosha juu ya kuzijuwa athari zitokanazo na mabadiliko ya Tabiya ya nchi jambo ambalo linapelekeya kurudishanyuma maendeleo ya wakulima na wanaoishi pembezoni mwabahari. Akizitaja changamoto hizo nipamoja na kupanda kwa Maji chuvi mpaka majumbani ikiwahukoseaha wananchi kwenda kufanya kazi za kujipatia kipato. Nae sheha wa shehiya ya chwale Mchanga Said Salim amesema lichayakutolewa elimu ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabiya ya nchi lakin...