ANGOZA YATOA MAFUNZO MABADILIKO TABIA YA NCHI.
NA, ARAFA MAKAME,RAIHAT NASSOR - PEMBA. AFISA mdhamini wizara ya nchi ofisi ya makamu wa kwanza wa rais Pemba Ahmed Abubakar Mohammed amewataka amesema ipo haja ya kulindwa na kuendelezwa misitu na mapori ili kuhakikisha Kisiwa cha Pemba kinaendelea kubaki na haiba yake ya Kijani . Ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya siku moja kwa wawakilishi wa asasi tofauti za kiraia,Wananchi,watoto watu wenye ulemavu,wanawake pamoja na watendaji wa serikali Pemba uliyoaandaliwa na ANGOZA kwa ufadhili wa mfuko wa jumuiya ya madola COMMON WEALTH FOUNDATION katika kuleta mabadiliko ya tabia ya nchi (CLIMATE JUSTICE) yaliyifanyika huko katkka ukumbi wa Madungu sekondari . Amesema katika kutekeleza suala hilo jamii inalazimika kuacha ukataji wa miti kiholela na kutumia nishati ambayo nisalama jambo ambalo itapelekea kuhar...